Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Nov 17, 2024 #41 kingundya said: Jana mitaa lilikuwa na mixed feelings yaani ile Kariakoo halafu Staz na mengine mengi ndio maana uliona hivyo. Click to expand... Inawezekana
kingundya said: Jana mitaa lilikuwa na mixed feelings yaani ile Kariakoo halafu Staz na mengine mengi ndio maana uliona hivyo. Click to expand... Inawezekana
The mission 2017 JF-Expert Member Joined Aug 14, 2017 Posts 1,748 Reaction score 3,229 Nov 17, 2024 #42 Kifo cha marehemu baba mzazi baada ya kuugua for more than 6 years. Nilisikitika kwa kua sitakuja kumuona tena, na ilikua habari njema kujua sasa yale mateso yamekoma. R.I.P my dad
Kifo cha marehemu baba mzazi baada ya kuugua for more than 6 years. Nilisikitika kwa kua sitakuja kumuona tena, na ilikua habari njema kujua sasa yale mateso yamekoma. R.I.P my dad