Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Hope mko poa,

Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, afu penzi likanoga Kama zamani.

Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae akanipenda kweli, basi tulikula maisha kwa furaha ya hali ya juu.

Baada ya muda tuliachana, japo mawasiliano ya kujuliana hali yalikuwepo, Sasa bi dada this year anaomba turudiane, nikikumbuka moments za nyuma natamani turudiane, Ila nahofia sitompenda Kama zamani.

Wakuu kwa walioweza kurudiana na ma ex wenu mliwezaje, na je penzi lenu lilinoga?
Wengi huishia kuachana tena kwakuwa huwa na hulka za kukumbushiana sababu za kuachana kwao
 
Kwa eksi wa kiume anaweza kujshape na kuwa normal....ila wa upande wa pili anarud kwa kuja kutaka kufanya revange..nlishajaribu kumrudia eksi wangu...ni kwel tulikuwa na good moments ambazo.ndo zilfanya kila mmoja aone umuhm wa kumrudia mwenzie..ila cku tu tunaonana...kaanza kuwasiliana na maboya zake mbele yangu...kwa kwel nliona ujinga...akala quenz 3 heavy za kichwa na nkachukua usafir na kusepa...
Usafiri wa mavi
 
Kuna pimbi mmoja nilimpiga kibuti (sijawahi kuachwa huwa naacha)baada ya miezi mitatu kupita tukajikuta tena pamoja sijui aliniloga au ni nyege tu,maana nilikuwa naumwa mara akaibuka kunitembelea bila taarifa sijui nani alimwambia tukajikuta mgonjwa mnara ukasoma kwa kasi ya 5G nikapiga kimoya [emoji28]
Kimoya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi kwa x sirudi hata aje na mafuta ya upako hanipati ng'o. Nirudi kwake nimesahau Nini kwani ili iweje kwani wanawake wengine mtaani hakuna. Ukiniacha naachika kweli
 
Huchukui round mtaitana Tena maex

Kuna mahusiano nilipitia niliumizwa Sana na yule dada nilihis Hadi kudata

Alikuwa wa kunizingua na kunirudia Mara kwa Mara ilikuw ndo tabia coz nlkuwa nampenda Sana na alijua Kama nampenda

Cha kuzingatia kwenye mahusiano yanayofufuliwa acha yeye ndo apiganie penzi/mapenzi yenu

Ucmpe mda wako Kam zaman ata utakuw na nyege sometime jfanye upo busy

Mpe mda usitoe ushirikiano wa kutosha Kam mwanzo Kam kwel atakuw na Nia atavumlia na atakupigania ili auwin moyo wko

Sasa jfanye kiherehere utajuta maana uyo manzi unaonekana unampenda

Jibu tosha hili apa
 
Hata nikimpenda mwanamke Vipi tukishaachana huwa siwezi kurudiaana naee yani tunaweza Kuflirt for some days ilaa ntashindwa kabisa kupretend kuwa still nampendaa siwezi siwezii...!!
 
Jf kuna kuku mnakiki kumbe ni POOR INNOCENT VICTIMS
Nioneshe sehm niliyotafuta kiki kwny hyo reply...acha mihemko..nyie ndo mnakuwa na wivu+chuki kwa watu msiowajua...iv nikiita bodaboda kama means of transport c usafir huo?shirikisha ubongo kabla hujaandika kitu chochote hapa
 
Hope mko poa,

Naomba kuuliza swali dogo, hivi ushawahi kurudiana na ex wako, afu penzi likanoga Kama zamani.

Two years ago, nilkuwa kwenye penzi zito Sana na mdada mmoja, yaani nilimpenda nae akanipenda kweli, basi tulikula maisha kwa furaha ya hali ya juu.

Baada ya muda tuliachana, japo mawasiliano ya kujuliana hali yalikuwepo, Sasa bi dada this year anaomba turudiane, nikikumbuka moments za nyuma natamani turudiane, Ila nahofia sitompenda Kama zamani.

Wakuu kwa walioweza kurudiana na ma ex wenu mliwezaje, na je penzi lenu lilinoga?
Mimi huwa narudiana na ex wangu tunadumu miezi miwili mitatu tunabreak baadae tunarudiana Tena.
Yaan huwa tuna mchezo huo naona kama hatuwezi kuachana milele ingawa kila mtu ana mahusiano yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom