Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Ben afleck kamchumbia tena JLO. Anyway kila mtu na abebe msalaba wake
 
Akienda kupuyanga huko akapigwa na kitu kizito kichwani akarudi kwa style kama aliyorudi nayo rajabu gregory (lakini asiwe kapuyanga na watoto wetu😆😆😆) anapokelewa🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Kwa eksi wa kiume anaweza kujshape na kuwa normal....ila wa upande wa pili anarud kwa kuja kutaka kufanya revange..nlishajaribu kumrudia eksi wangu...ni kwel tulikuwa na good moments ambazo.ndo zilfanya kila mmoja aone umuhm wa kumrudia mwenzie..ila cku tu tunaonana...kaanza kuwasiliana na maboya zake mbele yangu...kwa kwel nliona ujinga...akala quenz 3 heavy za kichwa na nkachukua usafir na kusepa...
 
Bora ulishaona hapo dharau ya wazi umejiongeza.
 
Akienda kupuyanga huko akapigwa na kitu kizito kichwani akarudi kwa style kama aliyorudi nayo rajabu gregory (lakini asiwe kapuyanga na watoto wetu[emoji38][emoji38][emoji38]) anapokelewa[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
[emoji1][emoji1][emoji1]Kitu kizito.
 
Ndio, ila ni upuuzi sitokaa nirudie.
Kumbe wee ni faller 🤣🤣🤣🤣🤣
So unanishauri ata mie njsirudiane na bby mama wangu....ila haipiti siku bila kumkumbuka yule mwanamke jamani nifanyeje?
 
Akienda kupuyanga huko akapigwa na kitu kizito kichwani akarudi kwa style kama aliyorudi nayo rajabu gregory (lakini asiwe kapuyanga na watoto wetu😆😆😆) anapokelewa🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Umenipa matumaini kumbe naweza rudiana na huyu mrembo. Ebu nipe mbinu sasa za kurudiana nae maana dah nimetambua kuwa ni mwanamke wakuoa kabisa huyu
 
Back
Top Bottom