Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Kuna pimbi mmoja nilimpiga kibuti (sijawahi kuachwa huwa naacha)baada ya miezi mitatu kupita tukajikuta tena pamoja sijui aliniloga au ni nyege tu,maana nilikuwa naumwa mara akaibuka kunitembelea bila taarifa sijui nani alimwambia tukajikuta mgonjwa mnara ukasoma kwa kasi ya 5G nikapiga kimoya [emoji28]
 
Umeshawahi kuiona movie ya Titanic? Then ukarudia kuiangalia unaweza ukaamin ile meli haita zama? Think deep mzee mliachana kwasababu kuna vtu alvkosa kwako kaenda kuvtafuta kavkosa uko pia ndio karudsha kambi tena kwako Anyway mpe nafas kama moyo wako bado uanahis yeye ndio faraja yako
 
ushawah kuiona movie ya Titanic? Then ukarudia kuiangalia unaweza ukaamin ile meli haita zama? Think deep mzee mliachana kwasababu kuna vtu alvkosa kwako kaenda kuvtafuta kavkosa uko pia ndio karudsha kambi tena kwako Anyway mpe nafas kama moyo wako bado uanahis yeye ndio faraja yako
Mkuu una maneno weye....yaani Mara ya Kwanza umeona kabisa meli inazama...ukirudia Tena movie ile ile unakuwa hauamini kuwa itazama.....duuuu sasa hzo ndo illusions au nn mkuu...
 
Huchukui round mtaitana Tena maex
Kuna mahusiano nilipitia niliumizwa Sana na yule dada nilihis Hadi kudata

Alikuwa wa kunizingua na kunirudia Mara kwa Mara ilikuw ndo tabia coz nlkuwa nampenda Sana na alijua Kama nampenda

Cha kuzingatia kwenye mahusiano yanayofufuliwa acha yeye ndo apiganie penzi/mapenzi yenu

Ucmpe mda wako Kam zaman ata utakuw na nyege sometime jfanye upo busy

Mpe mda usitoe ushirikiano wa kutosha Kam mwanzo Kam kwel atakuw na Nia atavumlia na atakupigania ili auwin moyo wko
Sasa jfanye kiherehere utajuta maana uyo manzi unaonekana unampenda

Uasherati sio mpango
 
Back
Top Bottom