Umeshawahi kurudiana na ex wako na penzi likanoga kama zamani?

Wengi huishia kuachana tena kwakuwa huwa na hulka za kukumbushiana sababu za kuachana kwao
 
Usafiri wa mavi
 
Kimoya[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mimi kwa x sirudi hata aje na mafuta ya upako hanipati ng'o. Nirudi kwake nimesahau Nini kwani ili iweje kwani wanawake wengine mtaani hakuna. Ukiniacha naachika kweli
 

Jibu tosha hili apa
 
Hata nikimpenda mwanamke Vipi tukishaachana huwa siwezi kurudiaana naee yani tunaweza Kuflirt for some days ilaa ntashindwa kabisa kupretend kuwa still nampendaa siwezi siwezii...!!
 
Jf kuna kuku mnakiki kumbe ni POOR INNOCENT VICTIMS
Nioneshe sehm niliyotafuta kiki kwny hyo reply...acha mihemko..nyie ndo mnakuwa na wivu+chuki kwa watu msiowajua...iv nikiita bodaboda kama means of transport c usafir huo?shirikisha ubongo kabla hujaandika kitu chochote hapa
 
Mimi huwa narudiana na ex wangu tunadumu miezi miwili mitatu tunabreak baadae tunarudiana Tena.
Yaan huwa tuna mchezo huo naona kama hatuwezi kuachana milele ingawa kila mtu ana mahusiano yake. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…