sokoMchizi
Member
- Oct 15, 2022
- 50
- 210
Nilikuwa nasafirisha mkaa mpaka dar bila vibali!
Nikikaa mbele ya gari trafiki na watu wa maliasili hawaioni gari mpaka Dar.
Kwa nin niliacha....with time mganga aliniambia kwa sasa nadaiwa sadaka ya damu ya mbuzi watatu, nikatoa
Baadae akaniambia nipate mimba niitoe nimpelekee....NIKACHAPA LAPA ILA NILIZULUMIWA HELA, VIWANJA, GARI nikabaki kama mwanafunzi wa secondary
Namshukuru MUNGU nimeanza upya bila ndumba[/QUOTE
Naomba Hapa Wale Watembea kwa Sangoma Mtoe Shuhuda Zenu Mliyokutana Nayo kwa Waganga na toka Umeanza kwenda Mganga Alikusaidia nini Ukaona kabisa shida Yako Imetatuliwa kwa nguvu ya Mganga , ikiwezekana mtaje Mganga Alipo nawengine wakauone uwezo wake
subiri watu washirki waje
Shirk ni kiarabu, kiswahili chake ni kushirikisha ama ushirikinaEm daud mchambuzi tuchambulie hapo ..washirki au washirikina?
Shirk ni kiarabu, kiswahili chake ni kushirikisha ama ushirikina
Kwanini ushirikina unatokana na concept ya kushirikisha,
Ni kwamba huko lugha ya kiarabu ilipo tokea watu walio amini Mungu walifundishwa kumuabudu Mungu mmoja tu.
na wakafundishwa imani nyenginezo zote uongo ikiwemo kufanya matambiko nakuabudu miungu mengine kutatua matatizo ni dhambi kuwa suala la kuomba ni suala la Mungu mmoja tu hakuna mwengine kushirikisha maombi kwa Mungu huyo na ma vitu mengine ndio ushirikina
Leo mwanzo kesho MusomaNaomba Hapa Wale Watembea kwa Sangoma Mtoe Shuhuda Zenu Mliyokutana Nayo kwa Waganga na toka Umeanza kwenda Mganga Alikusaidia nini Ukaona kabisa shida Yako Imetatuliwa kwa nguvu ya Mganga , ikiwezekana mtaje Mganga Alipo nawengine wakauone uwezo wake
Hivi mkuu ni kweli kuna dawa za kuvuta wateja?njoo huku kwa wasukuma.... maswa, nikuoneshe konk, wateja watakuja kwenye biashara yako kama mvua, ukitoka dukani watakusubir. ukija niandalie pesa ya maji,maana naacha kaz zangu
Mwenzako kadakwa leo na gunia 19Nilikuwa nasafirisha mkaa mpaka dar bila vibali!
Nikikaa mbele ya gari trafiki na watu wa maliasili hawaioni gari mpaka Dar.
Kwa nin niliacha....with time mganga aliniambia kwa sasa nadaiwa sadaka ya damu ya mbuzi watatu, nikatoa
Baadae akaniambia nipate mimba niitoe nimpelekee....NIKACHAPA LAPA ILA NILIZULUMIWA HELA, VIWANJA, GARI nikabaki kama mwanafunzi wa secondary
Namshukuru MUNGU nimeanza upya bila ndumba
Waganga hawa hawa waliambiwa atakeye toa Fununu ya Alipo Mo Dewj familia itampa kitita cha 1bilnlion na wote wakala nduki🤣🤣Naomba Hapa Wale Watembea kwa Sangoma Mtoe Shuhuda Zenu Mliyokutana Nayo kwa Waganga na toka Umeanza kwenda Mganga Alikusaidia nini Ukaona kabisa shida Yako Imetatuliwa kwa nguvu ya Mganga , ikiwezekana mtaje Mganga Alipo nawengine wakauone uwezo wake
Ndumba hazina faida.Nilikuwa nasafirisha mkaa mpaka dar bila vibali!