Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

Waganga wazushi tu niliibiwa simu ktk mazingira ya kutatanisha simu kala na gharama sn.

Ss mm sio mtu wa ulozi kama mshana jr, akaja mwanangu mmoja na kuniambia anipeleke kwa mganga hiyo simu aliyeiba atarudisha.

Tumefka kwa sangoma baada ya kuelezea shida zetu mixer akasaga majanimajani si jui ni ya aina gani akasema nichemshe ninywe simu itarudi.

Sasa nipo njiani najiuliza simu aibe mwingine mijani ya dawa ninywe mie, halafu kuna uhusiano gani Kati ya kurudi kwa simu na mm kunywa Yale majani

Aahh kudadeki niliitupilia mbali ile mijani na mpaka ss siamini ulozi na hiyo simu nishasamehe[emoji3061]



Sent from my itel W4001P using JamiiForums mobile app
Ndio Maana Unatumia Itel [emoji3][emoji3][emoji125]

Sent from my Redmi Note 5 using JamiiForums mobile app
 
Naomba Hapa Wale Watembea kwa Sangoma Mtoe Shuhuda Zenu Mliyokutana Nayo kwa Waganga na toka Umeanza kwenda Mganga Alikusaidia nini Ukaona kabisa shida Yako Imetatuliwa kwa nguvu ya Mganga , ikiwezekana mtaje Mganga Alipo nawengine wakauone uwezo wake
Dawa ya kupoozesha jino tu!! Hapo salute Nampa mengine yote [emoji2781]!!
 
Kuna Wahuni wakitaka kutudhulumu Shamba letu huko kijijin Kwa kesi uchwara ambayo Hakimu alikula rushwa .


Ilikua ni waondoke, watu Kadhaa kurudi mavumbini.


Almanusura, Hukumu ya Rufaa kupitia Jaji , ikaturejeshea Eneo letu.


Anyways Waganga wengi ni waaongo, mpaka upate wale wa Ndani ndan kabisa ,sio Hawa manabii wa uongo
 
IMG_3036.jpg
 
Naomba Hapa Wale Watembea kwa Sangoma Mtoe Shuhuda Zenu Mliyokutana Nayo kwa Waganga na toka Umeanza kwenda Mganga Alikusaidia nini Ukaona kabisa shida Yako Imetatuliwa kwa nguvu ya Mganga , ikiwezekana mtaje Mganga Alipo nawengine wakauone uwezo wake
Ukinipa pesa chafu ya chuma ulete au ya kuharibu ridhiki yangu najua. Mikono inaanza kuuma, mikono inakuwa ya moto ghafla, kichwa kitauma, macho kuwa mazito , mikono kuwa na kigugumizi pia.

Ukija kuniwangia Lazima nikuone ndotoni na nishtuke kutoka usingizi

Nikikikanyaga uchawi Lazima miguu iwe mizito ghafla .
 
Back
Top Bottom