Umeshawahi kusaidiwa nini na mganga ukaona kabisa mganga wako fundi?

Hukuua kitu na ulilipa shingapi na je keko gani unaiongelea
 
Unataka upige mtu nn hahahaha
 
Mkuu pumu inanisumbua mno, nipe connection ya huyo mganga
 
Kuna siri gani kuhusu kitimoto,mana waganga wanaikataa na huku kwenye dini za wazungu na waarabu wanaikataa,
Kitimoto na bangi inaangusha nguvu za Giza kabisa Yaani ,Mungu alitupa silaha Ila wengi hawajui ,ukiwa unasumbuliwa na jini ,uchawi au Chuma ulete ,pika na ule tu kitimoto au chukua majani ya bangi weka kwa maji uoge nayo ,Mzee mapepo yanasepa kabisa . Utakuta wengi wanaliwa na mganga Bure Hela
 

Namba za babu plz
 
Endelea kuhusu jamaa mlimpeleka au
Yap mganga alitoa amri ya kwamba mtuhumiwa asithubuku kupigwa kwasababu alijua wazi endapo tungempiga basi kesi ingekua kwake sababu yeye angekua ndio chanzo cha yote so tulichokifanya tulimpeleka kwa mganga akapewa onyo baadae tulimpa taarifa mzee wake kua kijana wako amekutwa na tuhuma za wizi baadae mzee wake alimuamisha shule.
 
Unazngua malizia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…