Kumbe hua hiviπ€Marehemu akipelekwa mochwari hawekwi kwenye friji siku hiyo hiyo kuna chumba cha reseption ya marehemu anawekwa mezani au chini hadi kesho yake au baada ya masaa kadhaandio anahamishiwa kwenye jokofu mle
Tutamia hata fimbo kuliingiza akilini.Hili tukio halingii akilini !
Mkuu ngoja Yoda aje atasema ni hadithi tu!Tushazika mtaani kwetu mtoto wa darasa la 7 baada ya miaka 4 akakutwa sehemu , kumbe alichukuliwa msukule na Bibi yake. Alipookotwa alilitaja jina la Baba yake tu na Akanyamaza hakusema Chochote tena akapelkewa hospital wodi ya Vichaa maana alikuwa ameota nywele na Meno hana.
Baba yake alimtambua baada ya Kumuona. Wananchi tulizika miaka 4 iliyopita tukabaki tunashangaa tu.
KANDA YA ZIWA HUKO MAMBO NI KAMA HAYO(kabila kuu la kanda hiyo) . NDUGU kuchukuana misukule na Watoto kufariki hasa watoto wa kwanza
Na bado sitakubali kuliingiza akilini πTutamia hata fimbo kuliingiza akilini.
Hatari sanaTushazika mtaani kwetu mtoto wa darasa la 7 baada ya miaka 4 akakutwa sehemu , kumbe alichukuliwa msukule na Bibi yake. Alipookotwa alilitaja jina la Baba yake tu na Akanyamaza hakusema Chochote tena akapelkewa hospital wodi ya Vichaa maana alikuwa ameota nywele na Meno hana.
Baba yake alimtambua baada ya Kumuona. Wananchi tulizika miaka 4 iliyopita tukabaki tunashangaa tu.
KANDA YA ZIWA HUKO MAMBO NI KAMA HAYO(kabila kuu la kanda hiyo) . NDUGU kuchukuana misukule na Watoto kufariki hasa watoto wa kwanza
Mhm!Tushazika mtaani kwetu mtoto wa darasa la 7 baada ya miaka 4 akakutwa sehemu , kumbe alichukuliwa msukule na Bibi yake. Alipookotwa alilitaja jina la Baba yake tu na Akanyamaza hakusema Chochote tena akapelkewa hospital wodi ya Vichaa maana alikuwa ameota nywele na Meno hana.
Baba yake alimtambua baada ya Kumuona. Wananchi tulizika miaka 4 iliyopita tukabaki tunashangaa tu.
KANDA YA ZIWA HUKO MAMBO NI KAMA HAYO(kabila kuu la kanda hiyo) . NDUGU kuchukuana misukule na Watoto kufariki hasa watoto wa kwanza
Mnganga mmoja hapa Kijijini mweti alitengeneza dili na jamaa mmoja. Huyo jamaa alijifanya amekufa, halafu yule mnganga ni kama alimfanyia tiba, jamaa alafufuka hadi watu tukaanza kumuamini huyo mnganga, yaani hadi watu kutoka nje ya nchi wakawa wanakuja kutibiwa pale.Na bado sitakubali kuliingiza akilini π
Kwa akili ya kawaida tu tukio lenyewe limekaa kitapeli tapeli
π π asalaleeeeee ati wala ham kumwaga machozi maana mganga mfufua wafu yupo πMnganga mmoja hapa Kijijini mweti alitengeneza dili na jamaa mmoja. Huyo jamaa alijifanya amekufa, halafu yule mnganga ni kama alimfanyia tiba, jamaa alafufuka hadi watu tukaanza kumuamini huyo mnganga, yaani hadi watu kutoka nje ya nchi wakawa wanakuja kutibiwa pale.
Baada ya wiki mmoja yule jamaa aliyeigiza kufa alikufa tena, lakini kwa kuwa mnganga mfufua watu alikuwepo wala hatukulia kwani tuliamini kuwa angefufuliwa kwa mara nyingine.
Cha kushangaza mganga akashindwa kumfufua, na tunavyozungumza jamaa yuko ahera π₯²
Ndio dadaKumbe hua hiviπ€
Duniani kuna mengi sana mkuu.π π asalaleeeeee ati wala ham kumwaga machozi maana mganga mfufua wafu yupo π
Hakika hakikaDuniani kuna mengi sana mkuu.
Sikuwa na fahamu kuhusu hili shukrani sana mkuuNdio dada