Umeshawahi kutake risk gani unayoikumbuka?

Hii imenikumbusha nikiwa chuo nilikua na mwanafunzi mwenzangu ila alikua mshangazi Mke wa Mtu anasomeshwa na mume wake.

Class mshangazi. Akawa anapenda kampani yangu discussion atafanya awezavyo tuwe group 1.

Mara paap tukazama mzgoni mahaba yote.

Ninachojutia na Kusema sitokaa Nirudie ni

Mshangazi aliniita kwake siku 1. Usiku nmpelekee notes flan,nikamkuta anapga winee na kashapendeza.

Kwake ilikua Sio BIG HOUSE ni MANSION la hatari.

Nikaingia katoto ka watu kama ka house boy.. ananielekeza kwa simu tu

Sukuma geti, Pita mlango huu, Tokea uleee ,ingia hapoo sukumaaa

Sebule naiona ila ananiambia Pitiliza njoooo angalia kushoto korido mlango wa pili ingiaaa....

Nikamkuta kalala na night dress hiyoooo


Yakatokea yakutokea Usiku ule nikalala paleee...

Alfajiri MSHUA faza house kaja mida ya saa kumi alfajiri...

Uzuri Mshangazi kumbe kile chumba kilikuaa cha watoto.

Akaniiingiza KABATINI akaenda kwa mumewe...

Mume anauliza watoto wako wapi anaambiwa hawapo akasema haamini mpk aje kuhakikichumbani.

Akaja na mke wake kuhakiki mshangazi unahakikisha kabat halifunguliwi...

ile siku nilikaa kabatini tangia ile saa 10 alfajiri hadi saa 8 mchana nimejikunjia humo.

Mshua alipotoka ndio nikaja tolewa.

Eti Lishangazi linanidanganyia Mabusu.. nilivyotoka sikutaka hata mazoea nalo tenaaa

Na tangia hiyo sikuuu

Kama ni Shangazi la Mtu Kwako Siji... na Location nachagua mimi sio shangazi yeyote chini ya hili jua.
 
Nlishawahi kutrade forex 5M ya mzee nlipokea kama kodi kwenye nyumba zake alikuwa amesafiri, nashukuru nilidouble hiyo pesa ndani ya week moja alivyorudi nkamkabidhi pesa yake
 
Kende baada ya hapo lazima ziwe na uzito kama za mbuzi.
 
Wewe uli risk vingi sana ungekufa shauli yako...🀣🀣
 
2015, nilikutana na dada mmoja kwenye mtandao mmoja alikuwa mbali chalinze, katika kuongea kuongea, akasema natamani nije Dar nikusalimie ila sina nauli, nikamuuliza nauli sh. ngapi akasema elf 7, nikapiga mahesabuuu, nikamtumia elf10 huku moyo unaniuma asipokuja je? , nikajikaza akaniambia nimepokea ndo naingia kuoga, saa 9 hiyoo, saa 10 ndio niko stand nasubir gari, mara simu haipatikani tena, Dah nikajua nimeshaliwa tayari, nikaendelea na shughuli zangu, saa mbili kasorobo napigia simu na Light nimefika njoo unichukue Riverside simu ilikuwa imezima chaji, dah, nikapata uhai nikachukua boda chap
 
We unacho?
Mbegu nzuri sana am so proud mtu akiniuliza hili swali huwa najisikia burudani na hali kwenye kulijibu....πŸ₯°πŸ€£πŸ˜‚
 
Mbegu nzuri sana am so proud mtu akiniuliza hili swali huwa najisikia burudani na hali kwenye kulijibu....πŸ₯°πŸ€£πŸ˜‚
Una watoto wangapi hadi sasa?
 
Hivi Kuna risk kubwa kama kubeba ngada tumboni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…