Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 40,466
- 88,695
Twende wapiLet's get out here..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Twende wapiLet's get out here..
chumbani tukatengeneze mtoto...🥰Twende wapi
Baada ya kuchinja, tukaona bado anafurukuta, tukaamua kumtenganisha kichwa na kiwiliwili!
pig mtam sana, kichuri nayo ni balaa
Nyumba kwanzachumbani tukatengeneze mtoto...🥰
Kivukoni-goms usiku saa 3GAri la wap hilo?
Kichuri Cha ktmt!?Baada ya kuchinja, tukaona bado anafurukuta, tukaamua kumtenganisha kichwa na kiwiliwili!
pig mtam sana, kichuri nayo ni balaa
Hii imenikumbusha nikiwa chuo nilikua na mwanafunzi mwenzangu ila alikua mshangazi Mke wa Mtu anasomeshwa na mume wake.I've never risk my fvcking money!, lakini Nakumbuka nilishawahi ku risk hizi ndude zangu mbili, vitunza mbegu a.k.a vinyanya mshenzi ama kwa sie intelligent people tunaita nungenunge!.
Alikuwa mshangazi mmoja hivi nimetokanae nipo nae room sasa kuna kibinti kikapiga simu nikiwa nimelala wakaongea mi sikusikia!, alivyomaliza mbaba wako kwenye moja na mbili nilikuwa nimelala wanasema uchi wa mnyama!..
mshangazi wa watu kafura maana nilimuambiaga she's one and my only nyamnyam!.
Dadeki the way alivozishika kwa spidi that was not public it was personal!..
Niliamka katika lile lindi la usingizi nikiwa ktk hali ya mshangao, maumivu na hangaiko!.. her face was like jambazi sugu!, weupe wake wote ulikuwa mwekundu!. nikajua tu tayari nimeharibu.. akiwa kazishika vyema yani huwezi hata kutikisika akaniuliza
"Hanifa ni nani..?"
kwa sisi madungadunga ukiulizwa hivi na unajua ni nani huwa hatukubali!.
si nikakataa simjui!.
Nyie kuna kibinyo halafu kuna kimbinyo!.. the kimbinyo she gave me i decided to shout mpaka kidaka tonge changu alikiona!.. nilitoa machozi fulani hivi yakawa yanadondokea kwa nyuma ya masikio!. muhuni niligoma kusema
Aliekuja kuokoa ni manager wa ile lodge, ilibidi wafungue kwa funguo zao ule mlango maana zile kelele zangu zilikuwa za maumivu makali mno kulikuwa na AC ila walinikuta nimelowa chepechepe!.
Baada yakufanikiwa kutoka kwa hilo limshangazi ndio hapo niliapa sitakuja kuchukua mishangazi tena!, but you know what happened after three days she texted me and i texted her back the nyamnyam continue!..😅
Kende baada ya hapo lazima ziwe na uzito kama za mbuzi.I've never risk my fvcking money!, lakini Nakumbuka nilishawahi ku risk hizi ndude zangu mbili, vitunza mbegu a.k.a vinyanya mshenzi ama kwa sie intelligent people tunaita nungenunge!.
Alikuwa mshangazi mmoja hivi nimetokanae nipo nae room sasa kuna kibinti kikapiga simu nikiwa nimelala wakaongea mi sikusikia!, alivyomaliza mbaba wako kwenye moja na mbili nilikuwa nimelala wanasema uchi wa mnyama!..
mshangazi wa watu kafura maana nilimuambiaga she's one and my only nyamnyam!.
Dadeki the way alivozishika kwa spidi that was not public it was personal!..
Niliamka katika lile lindi la usingizi nikiwa ktk hali ya mshangao, maumivu na hangaiko!.. her face was like jambazi sugu!, weupe wake wote ulikuwa mwekundu!. nikajua tu tayari nimeharibu.. akiwa kazishika vyema yani huwezi hata kutikisika akaniuliza
"Hanifa ni nani..?"
kwa sisi madungadunga ukiulizwa hivi na unajua ni nani huwa hatukubali!.
si nikakataa simjui!.
Nyie kuna kibinyo halafu kuna kimbinyo!.. the kimbinyo she gave me i decided to shout mpaka kidaka tonge changu alikiona!.. nilitoa machozi fulani hivi yakawa yanadondokea kwa nyuma ya masikio!. muhuni niligoma kusema
Aliekuja kuokoa ni manager wa ile lodge, ilibidi wafungue kwa funguo zao ule mlango maana zile kelele zangu zilikuwa za maumivu makali mno kulikuwa na AC ila walinikuta nimelowa chepechepe!.
Baada yakufanikiwa kutoka kwa hilo limshangazi ndio hapo niliapa sitakuja kuchukua mishangazi tena!, but you know what happened after three days she texted me and i texted her back the nyamnyam continue!..😅
Wewe uli risk vingi sana ungekufa shauli yako...🤣🤣Hii imenikumbusha nikiwa chuo nilikua na mwanafunzi mwenzangu ila alikua mshangazi Mke wa Mtu anasomeshwa na mume wake.
Class mshangazi. Akawa anapenda kampani yangu discussion atafanya awezavyo tuwe group 1.
Mara paap tukazama mzgoni mahaba yote.
Ninachojutia na Kusema sitokaa Nirudie ni
Mshangazi aliniita kwake siku 1. Usiku nmpelekee notes flan,nikamkuta anapga winee na kashapendeza.
Kwake ilikua Sio BIG HOUSE ni MANSION la hatari.
Nikaingia katoto ka watu kama ka house boy.. ananielekeza kwa simu tu
Sukuma geti, Pita mlango huu, Tokea uleee ,ingia hapoo sukumaaa
Sebule naiona ila ananiambia Pitiliza njoooo angalia kushoto korido mlango wa pili ingiaaa....
Nikamkuta kalala na night dress hiyoooo
Yakatokea yakutokea Usiku ule nikalala paleee...
Alfajiri MSHUA faza house kaja mida ya saa kumi alfajiri...
Uzuri Mshangazi kumbe kile chumba kilikuaa cha watoto.
Akaniiingiza KABATINI akaenda kwa mumewe...
Mume anauliza watoto wako wapi anaambiwa hawapo akasema haamini mpk aje kuhakikichumbani.
Akaja na mke wake kuhakiki mshangazi unahakikisha kabat halifunguliwi...
ile siku nilikaa kabatini tangia ile saa 10 alfajiri hadi saa 8 mchana nimejikunjia humo.
Mshua alipotoka ndio nikaja tolewa.
Eti Lishangazi linanidanganyia Mabusu.. nilivyotoka sikutaka hata mazoea nalo tenaaa
Na tangia hiyo sikuuu
Kama ni Shangazi la Mtu Kwako Siji... na Location nachagua mimi sio shangazi yeyote chini ya hili jua.
Mh! kizazi kwanza mamaNyumba kwanza
We unacho?Mh! kizazi kwanza mama
Mbegu nzuri sana am so proud mtu akiniuliza hili swali huwa najisikia burudani na hali kwenye kulijibu....🥰🤣😂We unacho?
hapanaUnaweza rudia tena ikitokea?
Una watoto wangapi hadi sasa?Mbegu nzuri sana am so proud mtu akiniuliza hili swali huwa najisikia burudani na hali kwenye kulijibu....🥰🤣😂
Hivi Kuna risk kubwa kama kubeba ngada tumboni?Kila Mtu kwenye maisha kuna wakati anaamua kucheza kamari na maisha yake anaona Liwalo na Liwe, ikitiki Nimetoboa ikibuma FRESH (Kakubali Matokeo)
Ni wakati gani kwenye maisha yako umeshawahi kuchungulia Kaburi au Hatari kwa kupenda wewe mwenyewe ukiamini matokeo yatakua chanya?
Kuna HATARI halafu kuna Hatari na Robo Tatu, Wakati gani huo ambao ulipopita ule wakati ukikaaga chini unajisemea
1.Unasema Mimi ni MOJA ya mtu hatari sana yani mimi ni mtu M.bADI.
2.Sitokaaa Kamwe nirudie ule uchizi acha ibaki historia.
View attachment 3261071
Mh!Una watoto wangapi hadi sasa?
500k to 2MShs ngap??