Umeshawahi kuwa na mwanamke mrembo ukagoma kuimiliki jumla au kuoa kwa kuhofia uhakika wa kuchapiwa?

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Wasalaam, Umofia kwenu!

Eeh bana eeeh were were mwaka jana nilipata bonge la demu mtoto wa kipare bonge la pisi ukanda huu wa pwani alikuwa mdent wa chuo fulani anatokea kati ya Makanya, Same au Hedaru sina hakika, demu black beauty, trackoo hana mpinzani, kichwa kidogo dogo, hana tumbo kubwa, mguu kama malkia wa Ethiopia, ana lafudhi kama ya kikenya fulani hivi,sio demanding sana, she keeps simple profile.

Dadadadadeki toto ukimaliza shoo kama unaanza na ukianza kama ndio unaanza, kumtoa ghetto roho inakataa, nikiwa namsindikiza nikicheki hilo trackoo amazing kama lote, suruali ya jinsi inakaa kama kaumbiwa yeye.
Nikiwa namsindikiza ndio kama naenda nae ghetto.

Ana PR kubwa na wafanyabiashara wa bidhaa fulani miji hii maarufu ya pwani, mjanja mjanja kidogo kwenye elimu ya IT.

Akiongea mdomoni mjanja sana sana muda wote topic anaitaka ya pesa pesa, halafu bahili nikaona huyu mhuni tu.

Nikimcheki naona hii mashine sio yangu sijui hata nimeipataje siwezi hata kuelewa kama nilishushiwa tu na malaika wazinzi.

Pombe hanywi nikaona huyu sio ntapigiwa kiasi kwamba ntapasuka acha mimi niwe mwizi aendelee na bidhaa zingine.

Niliamua badala ya kuumiza kichwa mimi bora niwaunize akina J na wenzake hao wa mjini.

Bado ntaendelea nae nikiwa Side Buda.

Karibu kwa kushare kisa kama changu.

Wadiz a.k.a Side Buda wa mtoto wa kipare.
 
Ukifuatilia nchi jiran hata story zao za ngono zimehusisha hela, kila kitu chao jamaa wanaamini pesa ndio suluhisho ila sisi sasa.
Kizazi kinawaza ngono bila kuwaza kesho yake itakuaje kuna hua mawishi nizaliwe kenya
 
Unalipwa ngapi kwa mwezi?

Unafanya kazi gani na wapi wanapokulipa huo mshahara wa kizwazwa?
Nasoma chuo hio ni kazi ya kusoma nilete cheti eti home alafu ndo nikaajiriwe hii 100,000 ndo motisha ya kusoma eti 😠🤺
 
Hofu yako inatokana na wewe kuwa na kipato cha kawaida au appearance ya kuwa na uyo bi dada huna ndo maana unaona ni kama malaika wa uzinzi wamekupatia uyo mrembo accidentally????
 
Nasoma chuo hio ni kazi ya kusoma nilete cheti eti home alafu ndo nikaajiriwe hii 100,000 ndo motisha ya kusoma eti 😠🤺
Sasa kama bado unasoma halafu unajiingiza kwenye maswala ya kupost mambo ya kipuuzi huoni kuwa unaelekea kuzimu mapema?

Mkamate elimu usimuache aende zake.

Hizo demu zenye sijui tacroo ni mashetani tu hayo utapotezwa kijana
 
Ngono ukizungumzia JF ina pewa mjadala mrefu kuliko matatizo ya wananchi wake
 
Shoga angu mmoja mzuri sana. Mumewe anapresha Sana. Na anapesa Sana huyo mume...

Ananiambiaga mama Edina wewe ni mzur Sana tatizo wewe unaweusi.

Mkewe mweupeeeee shida ni anapendwa Sana. Ananiambiaga Naomba nipoze uchungu. Nikamuuliza uchungu wa nini?? Baba j akadai anahisi anachapiwa Sana
 
Wasalaam, Umofia kwenu!

Eeh bana eeeh were were mwaka jana nilipata bonge la demu mtoto wa kipare bonge la pisi ukanda huu wa pwani alikuwa mdent wa chuo fulani anatokea kati ya Makanya, Same au Hedaru sina hakika, demu black beauty, trackoo hana mpinzani, kichwa kidogo dogo, hana tumbo kubwa, mguu kama malkia wa Ethiopia, ana lafudhi kama ya kikenya fulani hivi,sio demanding sana, she keeps simple profile.

Dadadadadeki toto ukimaliza shoo kama unaanza na ukianza kama ndio unaanza, kumtoa ghetto roho inakataa, nikiwa namsindikiza nikicheki hilo trackoo amazing kama lote, suruali ya jinsi inakaa kama kaumbiwa yeye.
Nikiwa namsindikiza ndio kama naenda nae ghetto.

Ana PR kubwa na wafanyabiashara wa bidhaa fulani miji hii maarufu ya pwani, mjanja mjanja kidogo kwenye elimu ya IT.

Akiongea mdomoni mjanja sana sana muda wote topic anaitaka ya pesa pesa, halafu bahili nikaona huyu mhuni tu.

Nikimcheki naona hii mashine sio yangu sijui hata nimeipataje siwezi hata kuelewa kama nilishushiwa tu na malaika wazinzi.

Pombe hanywi nikaona huyu sio ntapigiwa kiasi kwamba ntapasuka acha mimi niwe mwizi aendelee na bidhaa zingine.

Niliamua badala ya kuumiza kichwa mimi bora niwaunize akina J na wenzake hao wa mjini.

Bado ntaendelea nae nikiwa Side Buda.

Karibu kwa kushare kisa kama changu.

Wadiz a.k.a Side Buda wa mtoto wa kipare.
Hahaha
 
Back
Top Bottom