Umeshawahi kuwa na mwanamke wa namna hii?

Umeshawahi kuwa na mwanamke wa namna hii?

Cash Generating Unit

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2019
Posts
13,286
Reaction score
39,418
Ndugu zangu mpo hali gani?

Kuna mada hapa acha nishare kwa wajuba. Katika maisha yako au mpaka sasa ulishawai kuwa na mwanamke ambaye tuseme sio demu wako yani hamjawai tongozana hamsumbuani zaidi ya kusalimiana siku moja moja.

Ila anakupa mzigo muda wowote unaotaka ukiomba appointment ya kumiti nae hakukatiliii anakupa game anytime tena anakupa yote uenjoy, anakuheshimu hana wivu na wewe.

Pia hakuombi pesa wala nini yani hajali labda ujiongeze kama nauli mkiachana, hakusumbui hana habar na life yako sijui unamke una mpenzi hana hzo mambo na wewe piq huna habari na maisha yake.

Ulishawai kukutana na mwanamke wa dizaini hii kwa zama hizi??
 
Nayeye kwa nyakati tofauti tofauti husimulia habari yenu kama ulivyosimulia wewe hapa.

Possibilities
Unakula mtu mwenye mahusiano yake serious, kwahyo wewe ni mchepuko.

Unakula mtu aliyejichokea na maisha ya mahusiano, pengine amewahi kuumizwa. Kwahyo hataki strings attachment

Unakula mgawaji hodari wa hicho unachopewa wewe. Hana hisia za kugandana na mtu. Yaani kuna wenzio kama wewe wanapewa kama wewe bila kutolea jasho.

Unakula muuzaji aliyekuelewa, kwako hapokei malipo analipwa na wengi kwa huduma hiyo hiyo. Hawezi kua na wivu.

........
Tuendelee...
 
Nipo nae mmoja wa hivyo.. yaani yeye hata ku chat ni kidogo sana, akituma msg moja asubuhi ndio imetoka hiyo mpaka labda usiku tena meseji mbili tatu gudnite.

Hana time na mimi, hataki hela, hakuna kuitana sijui baby sijui nini, hakuna cha nimekumiss sijui, kifupi hakuna stori mingi.

Hua tu namuuliza "tunaonana lini?" Anajibu "kesho ntakua busy, tufanye jumamosi" imeisha hiyo...! Raha sana...😀
 
Nipo nae mmoja wa hivyo.. yaani yeye hata ku chat ni kidogo sana, akituma msg moja asubuhi ndio imetoka hiyo mpaka labda usiku tena meseji mbili tatu gudnite. Hana time na mimi, hataki hela, hakuna kuitana sijui baby sijui nini, hakuna cha nimekumiss sijui, kifupi hakuna stori mingi. Hua tu namuuliza "tunaonana lini?" Anajibu "kesho ntakua busy, tufanye jumamosi" imeisha hiyo...! Raha sana...😀
Sanaaa
 
Nipo nae mmoja wa hivyo.. yaani yeye hata ku chat ni kidogo sana, akituma msg moja asubuhi ndio imetoka hiyo mpaka labda usiku tena meseji mbili tatu gudnite. Hana time na mimi, hataki hela, hakuna kuitana sijui baby sijui nini, hakuna cha nimekumiss sijui, kifupi hakuna stori mingi. Hua tu namuuliza "tunaonana lini?" Anajibu "kesho ntakua busy, tufanye jumamosi" imeisha hiyo...! Raha sana...[emoji3]

Raha sana mkuu, wanawake kama hawa mbinguni wataenda
 
Back
Top Bottom