Umeshawai juta baada ya kufanya mapenzi

Umeshawai juta baada ya kufanya mapenzi

osmaney

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2017
Posts
1,042
Reaction score
998
Habari wanaJf,

Poleni na harakati za kutafuta riziki. Hongereni pia maana nyinyi ni wapambanaji na ipo siku mtashinda.

Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. Ebu kiangalie tena kinasemaje. Haha

Basi bana ngoja nianze na mimi, yes ishatokea tena nilijuta sana. Ata sijui why. Sijui ilikua tamaa zangu au huenda kwa vile sikutumia kinga. Sijui kitumbua hakikua kitamu.. Dahh

Anyway nawe unaeza kueleze kidogo ilikuaje kwako

Karibu sana.
 
to be honestly,nimezini mara mbili tuu (ile serious,mjulubeng na mbunye 😁 achana na za utotoni kibaba baba na kimama mama)tangu nimezaliwa,na zote nilijuta sana aseee.tangu hapo najitahidi sana kuiepuka zinaa until nimeingia kweny ndoa...si mchezo...
 
hahah kwahyo mkuu saiz baada ya mechi kuisha furaha kama yote..
 
Nijutie utamu? Hapana sijawahi ukiondoa wasiwasi kwamba labda nimegusa miwaya waya.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Back
Top Bottom