osmaney
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,042
- 998
Habari wanaJf,
Poleni na harakati za kutafuta riziki. Hongereni pia maana nyinyi ni wapambanaji na ipo siku mtashinda.
Kama kichwa kinavyojieleza pale juu. Ebu kiangalie tena kinasemaje. Haha
Basi bana ngoja nianze na mimi, yes ishatokea tena nilijuta sana. Ata sijui why. Sijui ilikua tamaa zangu au huenda kwa vile sikutumia kinga. Sijui kitumbua hakikua kitamu.. Dahh
Anyway nawe unaeza kueleze kidogo ilikuaje kwako
Karibu sana.