Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Nimesoma na Dullayo-Shule ya msingi Minazi Mirefu
 
Nimesoma na jozee kabila enzi hizo akiitwa kabange
pale sangu mbeya.kisa nachokikumbuka kipindi tunarudi mchizi,alishushwa na gari kwa kujifanya much know coz alikuwa anajihamini sanaa.
nika drop naye makerere university .
baada ya harakat kubana nikatimka zangu USA huko nikiwa benchi moja na kina Rihanna .

miaka ya 2001/2 nikasikia mchizi kaukwaa u kuu huko Congo.nikabaki nabung'aa

maisha so pw now nipo zangu Sydney nafundisha hapa Hillsong college

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu uzi umenikumbusha kitu. Kuna jamaa alimshobokea msomi mmoja maarufu akawa anawaambia watu 'huyu jamaa nimesoma nae' yule msomi maarufu akamtizama hali yake halafu akajibu 'huwezi kuwa ulisoma na Mimi,labda ulikuwa unaniona naenda shule kusoma'
 
Stori zako ni kwamba umesoma siku nyingi. Ila uandishi ni kama hawa dot-com....how?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…