Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
Hiyo degree program ndo naisikia Leo,wanahusika na nini hao watu?Health Management
cKama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
cKama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
Vipi Sugu alikuwa muhuni??Nimesoma na MH SUGU... sabasaba sec school MTWARA... Darasa moja...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hongera sana mkuu, in deed you are great inspiration to manyMkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake
Kaka nisaidie japo kamtaji kadogo nifanye japo biashara ndogo ndogo Mungu atazidi kukubariki.Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake
Mkuu hukubahatika kuonja ?nimesoma na Jacklin massawe amabe anaiguza siri za family a.ka cliopa secondary alafu msingi nilisoma na demu mmoja ni video queen anaitwa faidha juma
Nina imani amekusikiaa japo kutoa ni moyo...Kaka nisaidie japo kamtaji kadogo nifanye japo biashara ndogo ndogo Mungu atazidi kukubariki.
Sent using Jamii Forums mobile app