Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Kama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
c
Clarify shule kuamzia vidudu, bush school, middle, primary, O level, A level, chuo ( kiwe certificate- Uzamili)
 
Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake
Hongera sana mkuu, in deed you are great inspiration to many
Nimejifunza kitu , umaarufu sio kitu kama mfukoni huna kitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake
Kaka nisaidie japo kamtaji kadogo nifanye japo biashara ndogo ndogo Mungu atazidi kukubariki.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom