enjai ya kyasha
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 3,089
- 3,634
Fadhili nanyati alikua mitengo sekondari baadae akahaimishiwa msimbati kama mkuu wa shule alikua anajenga maeneo ya kiango kajumba katamuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!usiniulize nimejuaje!!!Mwalimu Saidi Ali yupo wapi? na mwalimu Fadhili mpiga picha maarufu sana sabasaba sec chama kubwa[emoji16][emoji16] shule inayoongoza kutoa Jamaa wa Kijitonyama geti jeusi..
Same to me.Mzee Majuto (R.I.P)
SwadaktaMi sijasoma na mtu maarufu, ila hao maarufu ndo wamesoma na mimi.
Aisee hapo ndipo nimejisahau....wakati tunaanza Form five tuliwakuta Kina FA ndio wako Six pale...kajamaa kalikuwa na vituko sana nakumbuka kuna Siku kalitaka kuchezea kichapo kutoka kwa jamaa mmoja anayeitwa Mourice kama sijakosea but sikumbuki chanzo ilikuwa mini!Unamaanisha hukumkuta Fa pale Ununio? Coz by then Ununio ilikuwa A level tupu! Kama alikupita madarasa mawili basi alimaliza ndio wewe ukaingia! Fa aliingia 1998 na alimaliza 2000 PCM!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa, maana kuna wazee wa kuunga dotsUmeshtuka eeeh
[emoji767]101-03-821.M|T|C
Namkumbuka pia Bonta,Mi nipo Second year,yeye ndio alikua anaanza first year!
We used to call him Marc Fad😀 one of the best Physics teacher at 77 na mtaalam wa picha mnato😁 bila shaka we ni mate wangu kabisa wewe aidha class au school....Msalimie Mama Meja kama bado yuko hai...ukimuona mama Nanauka pia mwambie mwanafunzi wako wa Hist Chinga One wa jf anakusalimu😎Fadhili nanyati alikua mitengo sekondari baadae akahaimishiwa msimbati kama mkuu wa shule alikua anajenga maeneo ya kiango kajumba katamuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!usiniulize nimejuaje!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nn nipige nyeto wakati mmoja kati ya hao mpk now ni manzi yangu
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana Mimi namjua tu maana nimefanya kazi mtwara kipindi hikooWe used to call him Marc Fad[emoji3] one of the best Physics teacher at 77 na mtaalam wa picha mnato[emoji16] bila shaka we ni mate wangu kabisa wewe aidha class au school....Msalimie Mama Meja kama bado yuko hai...ukimuona mama Nanauka pia mwambie mwanafunzi wako wa Hist Chinga One wa jf anakusalimu[emoji41]
Hiyo program akiajiriwa anakuwa nani?Namkumbuka pia Bonta,Mi nipo Second year,yeye ndio alikua anaanza first year!
Alisoma BPA Health Service management
Sent using Jamii Forums mobile app
Wengi naona ni makatibu wa hospital!Hiyo program akiajiriwa anakuwa nani?
Vipi harakati za muziki alikuwa nazo hapo chuo