Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Mwalimu Saidi Ali yupo wapi? na mwalimu Fadhili mpiga picha maarufu sana sabasaba sec chama kubwa[emoji16][emoji16] shule inayoongoza kutoa Jamaa wa Kijitonyama geti jeusi..
Fadhili nanyati alikua mitengo sekondari baadae akahaimishiwa msimbati kama mkuu wa shule alikua anajenga maeneo ya kiango kajumba katamuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!usiniulize nimejuaje!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unamaanisha hukumkuta Fa pale Ununio? Coz by then Ununio ilikuwa A level tupu! Kama alikupita madarasa mawili basi alimaliza ndio wewe ukaingia! Fa aliingia 1998 na alimaliza 2000 PCM!

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hapo ndipo nimejisahau....wakati tunaanza Form five tuliwakuta Kina FA ndio wako Six pale...kajamaa kalikuwa na vituko sana nakumbuka kuna Siku kalitaka kuchezea kichapo kutoka kwa jamaa mmoja anayeitwa Mourice kama sijakosea but sikumbuki chanzo ilikuwa mini!
 
Fadhili nanyati alikua mitengo sekondari baadae akahaimishiwa msimbati kama mkuu wa shule alikua anajenga maeneo ya kiango kajumba katamuu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!usiniulize nimejuaje!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
We used to call him Marc Fad😀 one of the best Physics teacher at 77 na mtaalam wa picha mnato😁 bila shaka we ni mate wangu kabisa wewe aidha class au school....Msalimie Mama Meja kama bado yuko hai...ukimuona mama Nanauka pia mwambie mwanafunzi wako wa Hist Chinga One wa jf anakusalimu😎
 
We used to call him Marc Fad[emoji3] one of the best Physics teacher at 77 na mtaalam wa picha mnato[emoji16] bila shaka we ni mate wangu kabisa wewe aidha class au school....Msalimie Mama Meja kama bado yuko hai...ukimuona mama Nanauka pia mwambie mwanafunzi wako wa Hist Chinga One wa jf anakusalimu[emoji41]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana Mimi namjua tu maana nimefanya kazi mtwara kipindi hikoo

Mama nannauka km sikosei alipewa shule sijui ndwika girl vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom