GREAT NAME
JF-Expert Member
- Aug 31, 2016
- 1,078
- 1,718
Kama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shule ipi
Mi nilisona na huyu wa kisarawe sema madawati tofauti ila darasa mojaKama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
Waliosoma na mimi watakuja sasa hiviKama umesoma shule moja/darasa moja au dawati moja na mtu maarufu hapa tanzania mtaje,
Mkuu wenzio wote hao maarufu na ni wafanyabiasharaNimesoma ist na p funk,mzungu kichaa,manji ,dewji na Kali ongala,manji alikuwa ametuzidi madara matatu mbele yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Azania?