Da Lu
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 1,209
- 2,840
Ni kweli mkuu Mungu atamfanyia wepesi wa kutoa.Nina imani amekusikiaa japo kutoa ni moyo...
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kweli mkuu Mungu atamfanyia wepesi wa kutoa.Nina imani amekusikiaa japo kutoa ni moyo...
hujakosea mkuu ... mimi ni moja ya hao vilaza waliowahi kupoteza muda chuoni hapo
Alikuwa mstaarabu kiasi afu tulikuwa tunamuita kwa jina la MEI..Vipi Sugu alikuwa muhuni??
Katibu afya (mzumbe wanaita Health system management lkn st john wanaita health service management)Hiyo degree program ndo naisikia Leo,wanahusika na nini hao watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa mstaarabu kiasi afu tulikuwa tunamuita kwa jina la MEI..
Sent using Jamii Forums mobile app[/QU ul
Ulijua kama atakuja kuwa msanii?
Waliograduate hiyo program wanafanya kazi gani?
IST ,nimecheza sana soka pale na Kali Ongala ,na mwalimu Ron MitjensNimesoma ist na p funk,mzungu kichaa,manji ,dewji na Kali ongala,manji alikuwa ametuzidi madara matatu mbele yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
Azania au Benjamin? Dogo nilimuacha Azania huyu