Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Umesoma shule moja na mtu maarufu hapa bongo? Mtaje

Mkuu sijisifii,ila pesa nnayo labda umaarufu tu,Nina nyumba ya 300 ml,cruiser V8 mbili, tractor,scania na fuso,Nina uhakika wa 10 mil per months, maisha yangu ni mazuri japo huwezi linganisha na dewji yule alirithi kwa babu zake
Dewji aliwajibu nyie mnao sema karithi mali kwa wazazi wake, kweli karithi lakin haziku kama zilivyo sasa yy pia kajua kuziongeza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom