Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
haya ngoja nianze,anza wewe basi
Nimesoma boarding advance ambapo skonga kwetu palikuwa na o'level pia so ilikuwa board form one to six tena mixture. Ambacho sitasikisahau ni pale wasichana wawili warembo wa kidato cha nne walipokamatwa kwa wizi mkubwa. Kati ya vitu walivyoiba ni t shirts zaidi ya 70,chupi za kutosha za wenzao, viatu pea nyingi mno!!,sidiria, sketi,mashati,soksi na vingine vingi!!! Waliletwa assemble na kila mmoja kukiri kosa hilo!! Cha ajabu walikuwa makauzu hata soni hawakuona looh!!!! Ilikuwa hatariWakuu naomba tukumbushane vituko,mikasa,na mambo mbalimbali uliyokumbana nayo wakati unasoma shule ya sekondari ya bweni(boarding),
haya ngoja nianze,
Siku ya wali na nyama ilikuwa ni siku ya furaha sanaa, raha ni ile siku ya kwenda disco kwa marwasaw kama huna uniform nzuri lazma uazime ili ukienda disco usije ukakosa demu
Utakuwa ulisoma Tabora boys wewe.
Utakuwa uliugua wewe P.Epumbu erotion
pumbu erotion
Hahahahaaaa,,Pugu Bwoys,,,,,pumbu erotion
Ha ha ha ha mkuu umenifanya nicheke sana aisee..dahpumbu erotion
mimi niliwahi kucheza tarifa ya habari hadi ikaisha
Ha ha ha ha mkuu umenifanya nicheke sana aisee..dah
Nakumbuka hii kitu ilikua inatutesa sana, yaani ikikuvamia unaona mtu anatembea kama anaenda kumbe anarudi aiseee