Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

Mpigamsuli

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2012
Posts
3,885
Reaction score
582
Wakuu naomba tukumbushane vituko,mikasa,na mambo mbalimbali uliyokumbana nayo wakati unasoma shule ya sekondari ya bweni(boarding),
 
Wakuu naomba tukumbushane vituko,mikasa,na mambo mbalimbali uliyokumbana nayo wakati unasoma shule ya sekondari ya bweni(boarding),
Nimesoma boarding advance ambapo skonga kwetu palikuwa na o'level pia so ilikuwa board form one to six tena mixture. Ambacho sitasikisahau ni pale wasichana wawili warembo wa kidato cha nne walipokamatwa kwa wizi mkubwa. Kati ya vitu walivyoiba ni t shirts zaidi ya 70,chupi za kutosha za wenzao, viatu pea nyingi mno!!,sidiria, sketi,mashati,soksi na vingine vingi!!! Waliletwa assemble na kila mmoja kukiri kosa hilo!! Cha ajabu walikuwa makauzu hata soni hawakuona looh!!!! Ilikuwa hatari
 
boarding nimesoma kuanzia chuo, kituko na kitu kilichonishangaza ni chuo ni kitu kinaitwa kiu, mwanzoni nilikuwa nakichukua saaana lakini baadae ilikuwa ni refreshment kwa kweli hasa kiu ile isiyo na matusi.

Kituko kingine kilichonishangaza ni puch, hii aisee ilikuwa inatisha enzi zile jamani, maana mtu anaanikwa uovu wake na mtu asiyemjua na mahali ambapo hawezi kuondoa!!!!!!!!!!!
 
Nakumbuka kuna jamaa alikuwa analala chini ya kitanda changu alafu anavaa chupi za kike hadi bikini alikuwa nazo enzi izo,alafu anamwili mkubwa sana ukisema kwa watu unahisi kunakitu kitatokea ila jamaa alikuwa beki mbili kwenye mpira akikaza upiti
 
nakumbuka 4m nyoya iyo kuna dogo alik.unya nje na bweni...,ucku 2livotoka prepo majamaa ma2kutu na viranja yakaja yamevaa km alshabab,2lipigishwa bonge la kwata mixer mikanda na pushapu adi ngoma7 ndo yaka2acha!..,nakumbuka kuna chalii flam alichezea mikanda na kushkshwa maskio adi aka.ja.mba!,duu ilkua noma 2pu kuwa nyoya..!
 
nilikua na urafiki mkubwa na wapishi tena wapishi wenyewe madada,nilikua cpati tabu cku za wali,
 
Ha ha ha ha mkuu umenifanya nicheke sana aisee..dah

Nakumbuka hii kitu ilikua inatutesa sana, yaani ikikuvamia unaona mtu anatembea kama anaenda kumbe anarudi aiseee

hahahaa! Hyo nayo nliisahau kaka,ilinikuta bana ya ad mbupu zkwa nyekundu na kale ka ngoz lain kakabanduka kote..,duu 2metoka mbali aisee!
 
Back
Top Bottom