Umesoma shule ya boarding(bweni) wewe?

hii mzumbe main campus
 
Hivi mkuu...pale mazimbu unapakatia toto gani mkuu geezle..ha ha ha ha ha mana hizi mambo ulianza kitambo kumbe.....
 
Siji kusahau siku ambayo tulikamatwa kitaan kwa sababu ya kucheza mzki wa rusha roho 4m 6 afu tukatishiwa kufukuzwa shule na mkuu wa shule,ila kutokana na sisi kuwa majembe ya shule kwa mtihani kwahiyo tukasamehewa,ila sasa nko zangu versity nahudhuria sehemu muhimu dar km bilicanas club,dar live,n.k
 
hahah mpigamsuli umenikumbusha disko na mawarsaw, ila walikuwa wanakuja wachache .sisi ambao tulikuwa hatuna bond kule girls tulikuwa tunang'aza kwa kweli..
nakumbuka walialikwa na milambo kwenda disco, walikuja kubebwa na mabas ya nbs kam matatu hv ilituuma sana ile waboyzia...
 
Mkuu umemaliza mwakagani pale? , ile siku walambo walivyoenda tabora gals kuna waboysia wakavizia mabasi yale wakapiga mawe lile basi
 
wewe ni noma aisee,duuh na huyo mheshimiwa hawafanyii kitu kibaya huko muhimbili,maana mikasa yenu inaogopesha,ila very interesting mtu wangu,
 
Wakuu hii noma nikikumbuka vituko vya boarding mpaka sina hamu. Ila kwa upande mwingine kulikuwa na raha zake! Kuna siku jamaa alikata gogo juu ya choo bila kulenga tundu. Vyoo ndo vilikuwa hata wiki havijamaliza tangu vikabidhiwe! Mabweni mawili yaliyokuwa yanatumia vyoo hivyo tukapangishwa msitari tuhakikishe hilo gogo limeondolewa kwenye hivyo vyoo na kuhamishia vyoo vingine kwa kupokezana! WEWEEEEEE! TAFAKARI.
 
Mkuu umemaliza mwakagani pale? , ile siku walambo walivyoenda tabora gals kuna waboysia wakavizia mabasi yale wakapiga mawe lile basi
mim nilikuwa pale kidato cha tano 2010..na lile tukio nalikumbuka vizuri sana...kesho yake vijana wa o level wakaandika barua ya matusi kwenda kwa galz...
aisee ilikuja kuwa bifu kubwa sana...mpak nahama pale ile bifu ilikuwa haijamalizwa bado...
 
n'gambo disko vumbi mpaka asubuhi, jumamosi royal club,frank man palace ,uhazili siku za graduation nakumbuka nilicheza disco mpaka asubuhi mulemule ndani ya disko kulikuwa na maticha

Hahahahahaha...
Yaani Ww Kama Sio Tabora Boyz... Cjui.
 
Nakumbuka siku moja nilikuwa nalia kama mbuzi usiku bwenini wakati umeme umekata alitoke ticha mmoja wanamwita big ambaye alikuwa ndo patron alafu alikuwa kalewa mbaya akakutana na mimi gafla kwenye kona alinikata funua funika yaani kofi la pande mbili breki ya kwanza nilijikuta chooni nimejifungia nakata gogo!!! Daaah
 
mim nilikuwa pale kidato cha tano 2010..na lile tukio nalikumbuka vizuri sana...kesho yake vijana wa o level wakaandika barua ya matusi kwenda kwa galz...
Aisee ilikuja kuwa bifu kubwa sana...mpak nahama pale ile bifu ilikuwa haijamalizwa bado...

daah nakumbuka mbal sana walambo tulikua viraka siku wagelozia wakizingua tunakamatia warembo wa kazima bila utataaaaa!!.
 
mim nilikuwa pale kidato cha tano 2010..na lile tukio nalikumbuka vizuri sana...kesho yake vijana wa o level wakaandika barua ya matusi kwenda kwa galz...
aisee ilikuja kuwa bifu kubwa sana...mpak nahama pale ile bifu ilikuwa haijamalizwa bado...

Ulikuwa kombi gani mkuu ?mimi pia nlikuwa pale form5 2010, unakumbuka ile siku mwaka 2011 tulienda kwenye graduation ya taboragals ,chini ya mr.kapala na mr.lupenza, tulicheza disco mpaka saa 5 usiku watu tulibambia sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…