Nimkimbilie nani
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 6,388
- 6,839
Nunua kifaru mkuu.Gari gani naweza kununua. Isisumbue sumbue na iwe poa kwa kutembelea hasa batani. Budjet ( 25M mpaka 30M)
Sent using Jamii Forums mobile app
Nunua kifaru mkuu.Gari gani naweza kununua. Isisumbue sumbue na iwe poa kwa kutembelea hasa batani. Budjet ( 25M mpaka 30M)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida sana kwa level ya oil kupungua kidogo, ukiangalia kwenye ile deep stick ya oil utaona kuna vi mistaking vya vipimo vya oil. Kuna mstari wa juu kabisa ambao unaonyesha oil ikiwa imejaa nomal, kuna mstari mwingine wa kati, kisha kuna mstari mwingine wa Mwisho, huo ndo denger zone, oil haitakiwi ishuke zaidi ya hapo utakaanga Mashine, na pia yaa ya oil lazima itawaka.Huyu mnaemuuliza maswali atakuwa ni mmasai mbona kala nduki.
Hivi level ya oil ikipungua kidogo sana kuna shida?
Yeyote anaejua tuachane na huyo baba yoyoo
Gari yangu INA kimbia sana seemu ya speed 50 natembelea 40 nikipigwa tochi inaonyesha speed 55
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh hapo kwenye moshi mweusi umechapia ila sio mbaya umekosea mahala padgo tu.
Moshi mweusi ni viashiria vya kuwepo kwa 'carbon deposits' ambayo hutokana na 'incomplete combustion'.
Ili Engine ifanye kazi barabara lazima kila kitu kifanyike kwa muda muafaka ( mafuta au hewa huingia, huchomwa na kutoka kwa muda fulani). Petroli ni nyepesi sana na inaungua haraka hivyo haiwezi kuleta moshi mweusi.
Unapoona moshi mweusi basi lazima kuna oil kwenye chemba. Oil ni nzito, kwa hiyo inahitaji muda mwingi kuungua, sasa katika engine za magari muda wa kuunguza mafuta huwa ni mfupi sana , kama oil itajipenyeza pale basi haitapata muda wa kuungua yote, kwahiyo itageuka tuu kuwa masizi na kutoka (moshi mweusi).
Oil haitakiwi kuwa kwenye chemba, sababu ya oil kuwa hapo ni 'worn out piston rings' (hizi ni valves zinazozuia oil isiingie kwenye chemba). Kutatua tatizo hili inabidi utoe pistons halafu ndiyo ubadilishe hizo rings.
Sababu nyingine inaweza kuletwa na kumeguka kwa piston. kama kuna tundu dogo ambalo linaweza kufanya oil ijipenyeze basi itafanya oil kuungua kwenye chemba na kusababisha moshi mweusi.
.Mh hapo kwenye moshi mweusi umechapia ila sio mbaya umekosea mahala padgo tu
Moshi mweusi husababishwa na hewa kuwa chache
Gari aina gani? Ukishindwa kutoa maelezo vizuri utashindwa kusaidia.Gari inachelewa au kugoma kuingia via namba mbili,ikikubali tu zile mbili zingine zinaingia bila shida,ni automatic gear box.
Mkuu gari ni Nissan Wingroad ya 2002,kuna wakati kuhama gear number moja kwenda mbili inasumbua Ila ikishaingia mbili hizo zingine hazina shida, ni automatic transmissionGari aina gani? Ukishindwa kutoa maelezo vizuri utashindwa kusaidia.
Ww unasema utafikiri wote tunafaham gari yako ni aina gani au unafikiri magari yote automatic ufanyaji kazi wa gear box ni sawa
Gari inakosa nguvu, nikiwasha ikawaka nikitaka kushusha vioo inazima, nimebadil plug bt bado inasumbua
Sent using Jamii Forums mobile app