Mkuu check yafuatayo, fuel pump, plugs na camshaft sensorsNdugu, umesema niulize swali juu ya matatizo ya gari langu ni nijibiwe.
Mimi nina Toyota Vista. Tatizo lake ni kuzima njiani, Likizima na kuliwasha, linawaka na safari inaendelea. Tatizo linajirudia kama mara 3 kwenye safari ya 20km. Watu wanasema ni plugs. Nisaidieni kujua. Tatizo laweza kuwa ni nini? Ina bore!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] unapata mkuu ngoja wajeNaweza kupata gari mpya Kwa M4
Angalia 'power sterling fluid level' kama iko sawa.Noah old model, sterling imekuwa ngumu ghafla tu kama naendesha volvo vile
Namwaga naweka mafundi wanacheki cku mbili innageuka kwenye kikopo mule kuwa kama topeAngalia 'power sterling fluid level' kama iko sawa.
Unamaanisha inakuwa uji uji au rangi yake inakuwa kama ya tope?Namwaga naweka mafundi wanacheki cku mbili innageuka kwenye kikopo mule kuwa kama tope
Yea ujiuji alafu chafuuu kama tope jeusi hapo ni wiki tu nikibadili mafutaUnamaanisha inakuwa uji uji au rangi yake inakuwa kama ya tope?
Yea ujiuji alafu chafuuu kama tope jeusi hapo ni wiki tu nikibadili mafuta
Kwema . Nauliza ivi nina toyota Ist pale kwenye dashbord saa zile kilomita za gari namba zinakatik hazionekani zote nimebadili ile dashbord saa kuchukua ya Ist nyengine ambayo ni nzima hamna haijasaidi chochote nikaamua kuirudisha ile yakwangu je tatizo ni nn my no 0672622461uliza Maswali na jinsi utakavo udumia gari yako wakati wote kutana nam sasa Kwa matatizo yote ya gari lako....