Umetembea na wanaume/wanawake wangapi hadi leo?

Wanawake Ambao nimetoka nao official 2.

Wengine idadi yao sikumbuki 🥴
 
Mm nimewahi kuwa na watatu kama mademu .ila hizi mechi asee hakuna mwezi sipigi mpya
 
Hili sio jambo la ku brag hata kidogo. Zinab ni kama maji ya moto haikati kiu zaidi ya kuipa nafsi mzigo u kuadeki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…