Umetuma nauli baada ya dakika tano akwambie hawezi kuja mtoto wa dada ake amemeza sh. 50

Anatakiwa akuone kwao ukiwa umeongozana na daktari pamoja na kikosi cha zimamoto na uokoaji kwa ajili ya kutoa huduma kwa muathirika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…