Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Tanya uzipate, week end hii
Itapendeza
Yapo
Tupia Babu ....Selfika Version II
Weka madawa mapema kusiwe na vita na hekaheka kama kwenye selfika
UmependezaNimetupia zangu hivi, weekending..🩳
Hahahahahaha
Haina shida hata hivyo nimeokoa pesa yangu nilitaka nitume kama milioni hivi.Mi mbaya mkuu, Subiria warembo waje ujichagulie 😂😂😂
We doctor mbona unaguna😝,usije ukanigeuza sisimizi bure
Ahsante TresorUmependeza
HahahahahaWe doctor mbona unaguna😝,usije ukanigeuza sisimizi bure
Ahsante na wewe,FinancialAhsante Tresor