Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

20231019_123001.jpg
 
Nimetupia zangu hivi, weekending..🩳
Sijui ni mwanamke au mwanaume huyu kwenye picha na tumiguu twake kama twa dullah makabila au wakuvanga.😀😃😆😄 alafu hiyo nguo aliyovaa ni ya kizamani kweli. Nilimnunuliaga zawadi demu mmoja wa huku Nyakatuntu eti hadi leo zinavaliwa na wanadamu.😄😆😃😀🤣😁😂
 
Back
Top Bottom