Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
- Thread starter
- #421
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha huyu ni Mpwayungu Village 😄😆😃😀🤣🤣😂Nimetupia mtupio huo leoView attachment 2817525
Oya kitu si hiki ☝️👀 hapa au 😄🔥🔥🔥🔥🔥
Amalize chuo kwanza baada ya hapo tumpatie ahadi ya kazi hewa ,atufungulie uzi wa kutusema humu😅Achana naye akaendeleze utoto wake huko MUST 😂😂😂😂
Dah kumbe wewe ni dada mzuri tu ila unapenda sana utani. Nakufuatiloaga sana kule kwenye uzi wa vituko. Umejitahidi kuunogesha sana ule uzi. Mbona hapa unaonekana upo serious sana.
😂😂😂😂 Atashusha daily NewsAmalize chuo kwanza baada ya hapo tumpatie ahadi ya kazi hewa ,atufungulie uzi humu😅
Ana midomo ya kikeDah kumbe wewe ni dada mzuri tu ila unapenda sana utani. Nakufuatiloaga sana kule kwenye uzi wa vituko. Umejitahidi kuunogesha sana ule uzi. Mbona hapa unaonekana upo serious sana.
Mamamamaaaaaaaaa 😋🔥🔥🔥🔥🔥🔥 imekaaa mwakeHi imekaha poaView attachment 2817374
Sasa hebu ngoja niende barbershop nikazinyooshe, halafu nirudi nyumbani nizioshe na shampoo [Head & Shoulders], conditioner, nizipake na siagi ya ndevu [mafuta ya ndevu].Bff wangu umemvuruga na ndevu hizo 😂😂😂
Ni kweli ni Tumiguu twa Dullah huto mkuu umejuaje, afu kweli ni kapensi ka zamani, ngoja nimwambie 😀😀Sijui ni mwanamke au mwanaume huyu kwenye picha na tumiguu twake kama twa dullah makabila au wakuvanga.😀😃😆😄 alafu hiyo nguo aliyovaa ni ya kizamani kweli. Nilimnunuliaga zawadi demu mmoja wa huku Nyakatuntu eti hadi leo zinavaliwa na wanadamu.😄😆😃😀🤣😁😂
Oyaa Mideko mbona kama nilikuona mara sikuoni tena rudia tena bhanaaaaaa 😋Inakera na kuboa sana.
Shauri zako, milioni pesa ya breakfast hio.Thubutuuuu 😂😂😂😂
We mbona bado katoto sana…umezaliwa 2007?Kujiachia tu leoo.View attachment 2817541
🏃🏃🏃🏃Oyooooo!! 😍😍😍😍
Jf ina visu awww mideko mzuri bwana 😘
Shauri zako, milioni pesa ya breakfast hio.Thubutuuuu 😂😂😂😂