Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

[emoji4]
Screenshot_20231204-221711.jpg
 
Shida mi Huku nateteaga nyeto na napromote KATAA NDOA sasa mkiniona mkampelekea taarifa baba mchungaji 😁😁ataniremove kwenye privilege nazopata, anyway saa saba nakatiza ila sura hutaona
Hio mbona haina tatizo wee jilipue tu acha uswahili banaa!

Saa saba mbali sana tupia saii
 
Back
Top Bottom