Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Ndio tuzuri hivyo,πππNi kweli ni Tumiguu twa Dullah huto mkuu umejuaje, afu kweli ni kapensi ka zamani, ngoja nimwambie ππ
Poa poa mkuu samahani2018 hiyo .Chuo nlishatoka siku nyingi sana na familia juu.
Oyoooooo!!! Ukimaliza kufanya yote hayo tupia pic bas bff wangu Missy Gf kakuelewa kweli sema anashikilia moyo πππSasa hebu ngoja niende barbershop nikazinyooshe, halafu nirudi nyumbani nizioshe na shampoo [Head & Shoulders], conditioner, nizipake na siagi ya ndevu [mafuta ya ndevu].
Halafu baadaye naenda Tips na Wavuvi Kempu kupunga upepo. Karibuniβ¦..mkiona mtu ana ndevu zilizopangika vizuri na zinazongβaaβ¦.ndo mimi huyo ππ
View attachment 2817539
Congrats dear mom to be
Ndio wanaotujazia server za JF hao kwa hadithi na story zao za uongo.We mbona bado katoto sanaβ¦umezaliwa 2007?
π π π πDah kumbe wewe ni dada mzuri tu ila unapenda sana utani. Nakufuatiloaga sana kule kwenye uzi wa vituko. Umejitahidi kuunogesha sana ule uzi. Mbona hapa unaonekana upo serious sana.
Nakujua hapo ushawaza mpk watoto utakaozaa naye Mxxiewwww ππππNyani sijui nmfate hukohuko porini π€£
Mxiiiu nikikupiga utasema wadada wa chuga wakorofi π π€£Nakujua hapo ushawaza mpk watoto utakaozaa naye Mxxiewwww ππππ
Mkaka hawagi na tumiguu tuzuri, mkuu amesema ni twa DullahππNdio tuzuri hivyo,πππ
Mbona povu kuna sehemu tushagongana pic ya 2018 hiyo.Ndio wanaotujazia server za JF hao kwa hadithi na story zao za uongo.
Usiniite babu. Natamanigi kukukula sema tu ni vile binadamu wa sasa ni wabishi sana halafu hayanaga mwongozo πππππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈππΏββοΈπTupia Babu ....
Wala hata sina shida mkuu, nilijua tu unataniaπHahaaaaa, nilikuwa nakutania tu sister ila mbona umeitoa ile pocha japo wakulungwa tumeshaisave. Pole na jongera. Umetokelezea mbaya sister.
Oyaaa Mideko ππ₯π₯π₯π₯π₯
Hahaa haya nashukuruuuUko salama salimini.. Ila hongera zake anayeichumu hiyo migulu[emoji8][emoji1787][emoji1544][emoji1550]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii simple mbona kama yangu walinianulia vijana?Nimetupia zangu hivi, weekending..π©³