Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Sasa hebu ngoja niende barbershop nikazinyooshe, halafu nirudi nyumbani nizioshe na shampoo [Head & Shoulders], conditioner, nizipake na siagi ya ndevu [mafuta ya ndevu].

Halafu baadaye naenda Tips na Wavuvi Kempu kupunga upepo. Karibuni…..mkiona mtu ana ndevu zilizopangika vizuri na zinazong’aa….ndo mimi huyo πŸ˜€πŸ˜€

View attachment 2817539
Oyoooooo!!! Ukimaliza kufanya yote hayo tupia pic bas bff wangu Missy Gf kakuelewa kweli sema anashikilia moyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tupia Babu ....
Usiniite babu. Natamanigi kukukula sema tu ni vile binadamu wa sasa ni wabishi sana halafu hayanaga mwongozo πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸƒπŸΏβ€β™‚οΈπŸ–
 
IMG_20200619_080721_0.jpg
 
Back
Top Bottom