Asante sana , moyo wangu uliumia sana lakini MUNGU alinisaidia sanaIla irudishe tu id yako..Be free..yaliyotokea yameshapita.
Usiogope,hakuna aliye msafi.
Maadamu umeomba msamaha basi wewe kwa upande wako umemaliza,hudaiwi...
Atakayekusamehe ni heri,atakayegoma kuachilia basi atajua yeye na Mungu wake.
Nafurahi umerudi tu na kuweka mambo sawa,na ndicho watu walichokuwa wakitegemea ufanye.
sidhani kama nitaweza rudi humu , ninaona siwezi kabisa , maana im so naive , nitakuwa naangalia tu kwa mbali .