Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Sifahamu hiyo matema beach..Hii ni kampuni au?
Halafu Kuna chimbo lipo mbeya linaitwa matema Beach nalitamani
Juzi kati nilikuwa Melia serengeti anhaaa lile chimbo balaa si mchezo
Japo me sipendi tour za mbugani ila hapo nakushauri nenda
Ila Melia serengeti hivi karibu(Jan) na nimeona mtandaoni iko safi kabisa.
Tour za mbugani napendelea kwa baadhi ya activities.
Yes ni kampuni,utapata discount ukichukua go and return ila make sure "Mr right" yuko pembeni ili ufurahie zaidi🤣,utafanya vitu vingi zaidi vyenye kuvutia na kukonga nyoyo hadi unafika na unaweza ukaomba some pictures za kijana wa kambarage aliyewahi/kuwa ana osha vyombo...🤣 ukamuona na majina yake .