Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Asante sana , moyo wangu uliumia sana lakini MUNGU alinisaidia sana
sidhani kama nitaweza rudi humu , ninaona siwezi kabisa , maana im so naive , nitakuwa naangalia tu kwa mbali .
 
Asante sana , moyo wangu uliumia sana lakini MUNGU alinisaidia sana
sidhani kama nitaweza rudi humu , ninaona siwezi kabisa , maana im so naive , nitakuwa naangalia tu kwa mbali .
Lesson Learnt.. maneno hayakupunguzii kilo zako za mchele ulizoweka ndani 😂😂

NB: TAKE HEART
 
Asante sana , moyo wangu uliumia sana lakini MUNGU alinisaidia sana
sidhani kama nitaweza rudi humu , ninaona siwezi kabisa , maana im so naive , nitakuwa naangalia tu kwa mbali .
Rudi tu
Mbona ulikuwepo

Rudi,si umeshaomba msamaha?hofu yako nini?

Jf Kuna mazuri mengi pia,ukitoa hayo mabaya...wote humu tumeshawahi kigombana na watu.

Wewe rudi tu..
Niliona ulipewa mawasiliano ya Melo,Mtafute na atakusaidia kukurudishia access ya id yako.
 
Asante sana , but siwezi
nitakuwa guest tu siku nikiwa bored ndo naingia

niliongea na Melo eeh
alinisaidia but i promised myself kwa kweli , natunza hiyo ahadi
 
yani kuvumilia kusemwa ndo siwezi
kudharauliwa kisa elfu 30 na kuitwa thirty thousand hivyo hapana
nimejifunza humu people will consider me cheap tu .
 
Asante sana , but siwezi
nitakuwa guest tu siku nikiwa bored ndo naingia

niliongea na Melo eeh
alinisaidia but i promised myself kwa kweli , natunza hiyo ahadi
Wewe na myself wako mnazingua 😆 unayumbishwa na JF? Huku ukilog out km ulikuwa huna sukari, si inabaki vile vile huna sukari?

Ama ndo mtu mzima akivuliwa nguo uchutama? Chutama yako ndo imeamua ukae mbali na JF?

Wakomeshe watesi wako kwa kurudi na kuwa happier just like nothing happened wewe binti. Looh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…