Marahaba boss mkubwa. Uko poa??Shikamoo boss
Wewe yako iko wapi?Uwekage na kapicha.
Niko poa kabisa bossMarahaba boss mkubwa. Uko poa??
Ebu weka kwanza yako 🏃Niko poa kabisa boss
Umehadimika sana mitaa hii
Ebu tupia uturingishie
Tayari nomeshatupiaEbu weka kwanza yako 🏃
Unataka kumpa wifi zawadi??🙂Naomba hako ka pete Dr.
Mwee mbona sijaona 😞Tayari nomeshatupia
Umeona?
Naaaam😍Tatizo lenu mnachat sana badala ya kutupia mapicha picha ndio maana mnagombana
View attachment 2855550
dyke😅🏃🏾♂️Tatizo lenu mnachat sana badala ya kutupia mapicha picha ndio maana mnagombana
View attachment 2855550
Nimekuona hapa mabanda ya CCM Iringa ukila mbuzi katoliki.Mwee mbona sijaona 😞
🤣 Weee leo mbona sijapita kabisa hapo utakua umenifananisha.Nimekuona hapa mabanda ya CCM Iringa ukila mbuzi katoliki.
Dyke is a rude word, kuna lesbian au queerdyke[emoji28][emoji2097]
unavotuita 'mbwa' badala ya wanaume je😂 ila tuachane nayo....Dyke is a rude word, kuna lesbian au queer
Btw, zimekuja picha mbili au moja?
Sawa shoga😍Nipo Lushoto namalizia mwaka shogaa
Ahsante mama mtumishiSawa shoga😍
Enyoy
Marhabaaa sis 😍!Ccy Antonnia
Nuzulati
Kalpana
Mjep
Intelligent businessman
Glenn
Unique Flower
Na wengine wengi.
Shikamoooni ☺️☺️☺️