Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana Mkuu,Kazi yako ni njema.Mi ni kweli mwaka huu sijafunga wala kuhubiri tokana na kutingwa na kazi za kimwili. Nimehubiri mara moja tu mkutano wa injili wa nje ila Mungu akisaidia mwakani nimepanga kununua vyombo vipya na kuanza kuhibiri. Nitaanza na mfungo binafsi then nitaendelea na wa siku 28 wa TAG Kitaifa.
Zawadi ina malipo yoyote?😀hayondiomaneno sasa.njoo pm
Shida yetu ni kuropokaWatu wazima hovyo hata Wanyama Wanati..Ana mbona hatusikii kelele 🐒😁
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]Umeziloweka kwanza thn spices ukaweka zikiwa dry[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nilishasahau kwanza kama inakuwaga na chumvi na pilipili
Mie nikaweka chumvi yangu
Baadaye ndio nikakumbuka.
Nikaona isiwe kesi,nyunyiza pilipili kwa juu.
Btw nilitaka kujikumbusha tu maisha yangu baada ya bumu kukata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa mtaalam sana wa hizi kitu..sema Ina njaa hatari...2hrs hutoboi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watauharibu tuMshana Jr 🤣
Tuanzishe Uzi mwingine basi amabo utakua hauna haya mapicha pichaa
Huku mashambani huwezi kula hizi tambi ukitegemea kesho kwenda shambani kulimaMie hadi leo still ni mlo wangu pendwaView attachment 2855225
Inasikitisha. Alafu vinara wa haya mambo ni wanaume tena watu wazima huwa nacheka na kusikitika muda mmoja.Ndo hivyo
Na Kwa mantiki hii watu tushalala sn na watu humu!
Acha ieleweke hivyo haina shida , uzuri hatujuani!
Uwekage na kapicha.Watakuja na huko. Huu uzi wakati unaanza nilisema kule juu kuna watu wakabisha ona sasa yanayoendelea [emoji23][emoji23]
Naomba hako ka pete Dr.
Watakuja na huko. Huu uzi wakati unaanza nilisema kule juu kuna watu wakabisha ona sasa yanayoendelea [emoji23][emoji23]
Uwekage na kapicha.
tarehe 2 mbali....Wahi class kijana
Kesho natoa test ole wako ukoseWahi class kijana