Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Mi ni kweli mwaka huu sijafunga wala kuhubiri tokana na kutingwa na kazi za kimwili. Nimehubiri mara moja tu mkutano wa injili wa nje ila Mungu akisaidia mwakani nimepanga kununua vyombo vipya na kuanza kuhibiri. Nitaanza na mfungo binafsi then nitaendelea na wa siku 28 wa TAG Kitaifa.
Hongera sana Mkuu,Kazi yako ni njema.

Bwana na akaachilie kibali katika ratiba na mipango yako,kwa utukufu jina lake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeziloweka kwanza thn spices ukaweka zikiwa dry[emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Nilishasahau kwanza kama inakuwaga na chumvi na pilipili
Mie nikaweka chumvi yangu
Baadaye ndio nikakumbuka.

Nikaona isiwe kesi,nyunyiza pilipili kwa juu.

Btw nilitaka kujikumbusha tu maisha yangu baada ya bumu kukata[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nilikuwa mtaalam sana wa hizi kitu..sema Ina njaa hatari...2hrs hutoboi.

Mie hadi leo still ni mlo wangu pendwa
image-2023-12-28-14:25:08-197.jpg
 
Back
Top Bottom