Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kumbi kumbiNilijua tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],nilitaka nishangae usiwale[emoji23][emoji23][emoji23],
Mie sijawahi hata kuonja,
Ntakuchapa 😂😂😂Ntakuumiza [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu uzi wa picha, tunaweka story. UwiiiihNtakuchapa [emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣🤣 bff uko vizuriPishi zuri sana hili niliwahi kula kwa buheti nikawa napika hivyo na mie geto watamuuu
Km kawaida yetu 😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23] uduguu uzi wa picha, tunaweka story. Uwiiiih
Nakuja kipenzi ngoja nitafute kiwalo 😇Karibu tule upepo wa bahari ya Hindi babe…..
View attachment 2817878View attachment 2817879View attachment 2817880
😍😍😍 shem mambo gani tena haya
Inabidi weekend moja twenzetu forodhani pale nikakulishe vikorokoro 😝🤣🤣🤣🤣 bff uko vizuri
Mimi navuta hisia sana sijui ndiomana vinanishinda
Na wale wa kuchimbwa chini sijui mnaita chenene[emoji23], huku mnapenda sana kula wadudu.Kumbi kumbi
Kungu
Mageke
Nakulaa sanaa, [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikutafutie Bolt 🤣😍😍😍 shem mambo gani tena haya
Wenzio tuko bonyokwa acha kututamanisha basi 🤣
Nimevaa kijora changu chakavu kimejikunja utadhani kimetafunwa na ng'ombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tublss basi mama mchungaji
[emoji23][emoji23][emoji23] wee chibaba humuogopiii? Atakupasua, ana wivu balaa.
Hao pweza na ngisi nilijitahidi kula, nilitapika mpk nikahisi roho inataka kutoka 🤣🤣🤣Inabidi weekend moja twenzetu forodhani pale nikakulishe vikorokoro 😝
Nasubirii [emoji23][emoji23][emoji23]Km kawaida yetu [emoji23][emoji23][emoji23]
Haya napita naked Jiandae
Anna ulikuwa wapi leo? Umepitwa na mengi. Nimepata bebi pisi hatari sana hapa hapa kijiweni 😀Nimevaa kijora changu chakavu kimejikunja utadhani kimetafunwa na ng'ombe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nakunywa zangu soda,
Ndio nianze kuimba.
View attachment 2817891View attachment 2817893View attachment 2817896
😋😋😋😍 Fanya hivo shem nije nijinome
Wivu kwenye chakula?[emoji23][emoji23][emoji23] wee chibaba humuogopiii? Atakupasua, ana wivu balaa.
Mbona Mshamba tena🤣🤣🙌Sio huyo nawe 😂😂😂
Huyu ni bff wangu sio ms eyes bana