Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Sasa misifa umetolea wapi?:AmberDollDance:
Misifa gani tena? 😂 😂 😂
Huo ndio ukweli na kipindi kile JF ilikuwa ina operate virtually. Mara mbili hiyo BB alikuwa ananifuata mpaka pale Makumbusho Millennium Tower Steers tunakunywa na juice 🥤 ya bei kali sanaaa. Vijana iheshimuni hii JF imetoka mbali na watu wameumizwa na kuteseka ili JF iendelee kuwepo.
 
Back
Top Bottom