Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akhiii ile siku niliumbukaaa, kwanza mie nikiona sehemu wamejaa wakaka wengi sipiti au sisogeii hapoo.

Yaana wanakeraa balaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😹😹😹 Ungewatimua wanakaaje ofisini kwa shem kiholela
 
PXL_20240715_063506115.jpg
 
Hajakukimbia yupo karudi jana, leo nilikuwa naye nikamwambia demu wako anakusalimia.
Akauliza nani? Nikamwambia si Aaliyah 😹😹
Acha alalamike kwann namrusha roho halafu nambania kumkutanisha na huyo Aaliyah.!!

Cazee yuko serious anakupenda kweli sema km yupo humu atacheka sana akijua dada yake ni Labella 😂😂😂😂
🤣🤣🤣Mm ndo wifiyako og
Mbona kumrusha roho mwenzio my Wii😀😀
Wew utaki niende south Africa 😀
 
Back
Top Bottom