ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 14,949
- 54,485
Maboga☺️Ugali na mboga Saba lkn zote za majani 😀😀😀View attachment 3043082
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maboga☺️Ugali na mboga Saba lkn zote za majani 😀😀😀View attachment 3043082
Karibu unakula Dona lknMaboga☺️
Pitiku na chainizi [emoji39][emoji39][emoji39]Ugali na mboga Saba lkn zote za majani [emoji3][emoji3][emoji3]View attachment 3043082
Nakwambia pitiku imenoga hatarPitiku na chainizi [emoji39][emoji39][emoji39]
Nimekumbuka home. Ngoja leo nitoe vitu vya kwetuu.
Dona napiga vizuri tuKaribu unakula Dona lkn
Ooh sawa karibu Dona ndo linaleta nguvu mwilini 😀Dona napiga vizuri tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mwendo wa pitiku had utumbo unakua wa kijanii.Nakwambia pitiku imenoga hatar
Umekumbuka mwez wa 2 kipind Cha mvua ndo mboga kuu mwendo wa pitiku tu[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua anatengeneza libenani, tena kunde ziwee mbaazi aaah wee najilamba had vidoleee.[emoji3][emoji3]nimemkumbuka jirani yetu kipind Cha mvua mboga za majani anachuma mchicha bwas,majani ya maboga,majani ya kunde akipata kunde mbili Tatu akiwa Yan bwana wee hiyo combination hatari [emoji3][emoji3]
cocastic
Kuna Skecher na crocs nimeziona km za muuza uduvi 😹😹😹
Hapana sijavielewa kwakweli km anaenda kunywa ulanzi
Hebu nipe samples aisee 😂 😂 😂 😂Mlongo, kwenye [emoji149] unafaili bhana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Raba kalii huzijui wee? Acha ubakhiri bhana, em lipukaa mlongo.![]()
Hebu nipe samples aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unalijua Lidelege??? 😂 😂 😂Ugali na mboga Saba lkn zote za majani 😀😀😀View attachment 3043082
Raba kalii huzijui wee? Acha ubakhiri bhana, em lipukaa mlongo.
Yaan utoke [emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo, naombaa andaa pesa nikupelekee chimbo ukaopoe dundo kaliii,View attachment 3043097
Hapo vipi? [emoji23] [emoji23] [emoji23]
😂 😂 😂 😂. Propose hapa hapa nione basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo, naombaa andaa pesa nikupelekee chimbo ukaopoe dundo kaliii,
Hii midosho yakoo unaniangushaaa bhana, khaaaah
🤣🤣🤣[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan mwendo wa pitiku had utumbo unakua wa kijanii.
[emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] leo umeamua kunivunjaa mbavuu, achana na kiatu, hiyo surualiii kwemaa?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Propose hapa hapa nione basi
View attachment 3043099
😀😀Yan hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] alikua anatengeneza libenani, tena kunde ziwee mbaazi aaah wee najilamba had vidoleee.
Una umri upi? 40's 50's au 60 na kuendelea?View attachment 3043097
Hapo vipi? 😂 😂 😂
Ndo nn hiyoUnalijua Lidelege??? 😂 😂 😂