Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

Umevaa nini leo? Tupia uturingishie

[emoji23][emoji23][emoji23]
Hii sijui hata imeanzia wapi bro, ila hapo pa upole nimecheka kiukweli..!!
Nimetaja dada zangu humu, akasema dada angu mmoja hapo huwa hapendi anavyofanyaga utani huku na wengine. Nikamuuliza ni Carleen?

Huyu ana utani sana, but mzoee tu hana kabisa hizo mambo kwenye real life, utani huisha kuwa utani
 
Back
Top Bottom