Acha kuni rushaπ€£πππNkmetulia mwenyeeewe[emoji23]
Mtaalamu wa Voda, wapi hiyoπ€£ππ
Chino πππKidogo nafsi itatulia.
Maana jembe lilikua halipiti vizuri mchuchu.
Umejua kumchanganya sana kijana wa watu.
Ipo siku ntasimama mataa ya mwenge kuzuia magari mpaka ujitokeze
πππYes my sista[emoji7]
Na mm naomba nimjue shemeji kama yupo, Kama hayupo nikuweke sehemu nzuri[emoji23]
πππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Huko ndo tunakoelekea
π Mimi mara nyingi sana najikuta nimelalia simu , nimeanza kujifunza kuweka simu mbali na kusoma kitabu, kabla usingizi hujanipata, lakini najilazimisha.Jana usiku simu nimeikuta uvunguni kabisaππ
My wii good morningπππChino πππ
Wii uko wapi mwenzetu?!! Sio kwa good morning hiyo πππMy wii good morningπππ
I miss u
Niandalie kahawa tamu km ile ya juzi ili nikusamehe wii ππππππππ
tumekosa sisi, tumekosa sisi, tumekosa sana..!!
usifike huko tafadhali..
πππMmenisengenya nyieeee
Mfyuuuu!! Ushanikosesha pesa mjinga wewe πππNdio naamka sasa hiviπππ
Duh! πππAnkal Lamomy ile ishu inaendelea
499.709 Aufrufe Β· 10.000 Reaktionen | Lovness ajibu baada ya mke wake kujitokeza na kudai walikuwa na familiaπ³π€ | By Mulastar255 | Facebook
Lovness ajibu baada ya mke wake kujitokeza na kudai walikuwa na familiaπ³π€www.facebook.com
Sent using Jamii Forums mobile app
Broo wako kanizimia simu tangu asubuhi simpati hewaniπ’Mfyuuuu!! Ushanikosesha pesa mjinga wewe πππ
Makubaliano yalikuaje jana?
Ko hujaenda kumpokea bro?!
Wewe ushazoea kina mshamba choka mbaya!!
Uko wapi ? Tuimalizie vzr