Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Wacha wee 😂😂😂Wanaume tunaojua ku care tumebaki wachache mrembo, hebu fanya namna mtoto mzuri.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wacha wee 😂😂😂Wanaume tunaojua ku care tumebaki wachache mrembo, hebu fanya namna mtoto mzuri.
Ss hapa ankal unafanana na yule jamaa wa Kigoma hilo body
Si unajua waha na ubahili 😆😆😆Alinijoboa sina hamu 🤣🤣🤣🤣
Kumsifia kote kuleeee!! Aliniambia “Wewe nisifie ila pesa sina” 🤣🤣🤣🤣
Nov 19😘I wish to see you
Haha tunavaa kwa Kibali maalum tu [emoji28][emoji28]Rudisha nguo za jeshi, wakikuotea [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumbe aliachia goma mwenyewe!!🤣🤣🤣Mshamba alimuachia babe wangu Zulu
Weka full bas tuone 😍Haha tunavaa kwa Kibali maalum tu [emoji28][emoji28]
Wewe nisifie ila pesa sina” [emoji1787][emoji1787]Alinijoboa sina hamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kumsifia kote kuleeee!! Aliniambia “Wewe nisifie ila pesa sina” [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Anachekesha kweli 🤣🤣🤣🤣Si unajua waha na ubahili 😆😆😆
Mamaeehh!!ngoja nikanywe nyagi na kitimoto kilo,,nisindikizie hii picha broo!!
Shauri zako.Wacha wee 😂😂😂
Ankal huyo jamaa ni nani lakini [emoji1787]Ss hapa ankal unafanana na yule jamaa wa Kigoma hilo body
Una namba zake za simu ?
😂😂😂😂 Aliona viashiria vya kuliwa pesa zake!!!
Mi mbaya mkuu, Subiria warembo waje ujichagulie 😂😂😂Shauri zako.