Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Mimi nipo Bosiledi. Nilikuwa kwenye kamati iliyotoa wazo la kuanzisha Selfika Part II na hata mazindiko yake yote nimeyashuhudia ili uzi usije ukavurugika kama ule uliotangulia.
Nasubiri utie Baraka zako katika hii Selfika mpya. Selfika ya zamani ulitisha sana maana nina folder zima kwenye simu yangu lenye mambo mgongo mgongo, naked...na mengineyo 😁😁😁🖐